Jenga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
== Historia ya Jina la Mchezo Jenga ==
[[Picha:Jenga-Madness (15409759503).jpg|thumb|Mchezo Jenga]]
Jina la mchezo Jenga linatokana na neno la [[:en:Swahili_language|Kiswahili]] kujenga. Mchezo wa Jenga ulitengenezwa katika mwaka 1983 katika Uwanja wa Michezo wa London. Mchezo huu uliundwa na [[:en:Leslie_Scott_(game_designer)|Leslie Scott]]. Leslie Scott anatoka nchi ya Tanzania mji wa Dar Es Salaam na yeye alisoma katika nchi ya Uganda, nchi ya Kenya, nchi ya Sierra Leone, nchi ya Ghana, na nchi ya Uingereza. Hata hivyo, sasa, yeye anaishi nchi ya Uingereza. Familia yake ilimnunulia skuta ya zamani mwaka 1970, kwa hivyo Leslie alicheza na nyumba za watoto matofali ya mbao alipokuwa mtoto. Leslie Scott ni mwanzilishi wa [[:en:Oxford_Games|Oxford Games]].