Alan Dugan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeendeleza
Massachusetts
Mstari 7:
==Maisha==
Dugan alikulia nchini [[Jamaica]],na kupigana [[vita vya pili vya dunia]] ambapo alijifunza pia [[ushairi]] lakini kabla ya hapo hakuwa mtu wa kupendelea mashairi.
Aliishi katika mji wa [[Massachusetts]],ambapo alikuwa [[mwanachama]] wa katika kituo cha ''Fine Arts Work Center''
Alan Dugan alimuoa mwana sanaa [[Judith Shahn]],na alifariki kwa ugonjwa wa [[pneumonia]] mnamo September 3, 2003, akiwa na umri wa miaka 80.<ref>https://www.nytimes.com/2003/09/05/arts/alan-dugan-80-barbed-poet-of-daily-life-s-profundities.html New York Times Obituary</ref>