Yterbi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
| mengineyo =
}}
'''Yterbi''' ''(Ytterbium)'' ni [[Elementi ya kikemia|elementi]] ya [[Metali|kimetali]] yenye [[alama]] ya '''Yb''' na [[namba atomia]] 70, maana yake [[Kiini cha atomu|kiini cha Yterbi]] kina [[protoni]] 70 ndani yake. [[Uzani atomia]] ni 173.045. Katika [[jedwali la elementi]] inahesabiwa kati ya [[lanthanidi]] na metali za [[ardhi adimu]].
 
Kiasili Yterbi haipatikani kwa hali safi lakini ikoimo ndani ya [[madini]] mengi.
 
Iligunduliwa mnamo [[mwaka]] [[1878]] wakati [[mwanakemia]] [[Mswisi]] [[Jean Charles Galissard de Marignac]] alitenga kutoka kwa ardhi adimu ya "erbia" na kuiita Ytterbia kutokana na [[kijiji]] cha [[Ytterby]], [[Uswidi]] ambako aliwahi kupata madini aliyochungulia.
 
Yterbi ni vigumu kutengwa na madini mengine, kwa hiyo haina matum izimatumizi mengi isipokuwa viwango vidogo katika [[leza]] kadhaa.
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
== Kusoma zaidi ==
 
* ''Guide to the Elements – Revised Edition'', Albert Stwertka, (Oxford University Press; 1998) ISBN 0-19-508083-1
 
== Viungo vya nje ==
 
* [http://education.jlab.org/itselemental/ele070.html It's Elemental – Ytterbium]
* {{Cite EB1911|wstitle=Ytterbium|short=x}}
* [https://link.springer.com/referenceworkentry/10.1007%2F978-3-319-39193-9_144-2 Encyclopedia of Geochemistry - Ytterbium]
{{mbegu-kemia}}
 
[[Jamii:Lanthanidi]]
[[Jamii:Elementi]]
[[Jamii:Metali]]