Frutuosi, Auguri na Euloji : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|200px|Sehemu ya [[mchoro wa ukutani ikimuonyesha Mt. Frutuosi, Huesca''']] {{PAGENAME}}''' (walifariki 259) walikuwa Wa...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[image:Fructuosus.JPG|thumb|200px|Sehemu ya [[mchoro wa ukutani]] ikimuonyesha Mt. Frutuosi, [[Huesca]]
'''{{PAGENAME}}''' (walifariki [[259]]) walikuwa [[Wakristo]] wa [[Tarragona]], [[Hispania]], waliofia [[dini]] yao kwa kuchomwa [[moto]] katika [[uwanja wa michezo]] wakati wa [[dhuluma]] ya [[kaisari]] [[Valerian]] na [[Galienus|Galieni]].
Wa kwanza alikuwa [[askofu]] wa [[mji]] huo, wengine [[shemasi|mashemasi]] wake.
Habari za [[kifodini]] chao ziliwahi kuandikwa
Tangu kale wote wanaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] na [[Kanisa la Kiorthodoksi]] kama [[watakatifu]] [[wafiadini]].
Mstari 20:
==Marejeo==
*Attwater, Donald, and Catherine Rachel John. ''The Penguin Dictionary of Saints''. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993.
==Viungo vya nje==
|