Jenga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 3:
 
== Historia ==
Mchezo huu uliundwa na [[:en:Leslie_Scott_(game_designer)|Leslie Scott]]. Leslie Scott anatokea nchi ya [[Tanzania]], [[mji]] wa [[Dar es Salaam]] ililakini alisoma katika nchi za [[Uganda]], [[Kenya]], [[Sierra Leone]], [[Ghana]] na [[Uingereza]]. Kwa sasa anaishi Uingereza. [[Familia]] yake ilimnunulia skuta ya zamani mwaka [[1970]], kwa hivyo Leslie alipokuwa mtoto alicheza na [[nyumba]] za [[watoto]] [[matofali]] ya [[mbao]]. Leslie Scott ni [[mwanzilishi]] wa [[:en:Oxford_Games|Oxford Games]].
 
== Michezo Mingine ==