Tofauti kati ya marekesbisho "Kikoongo"

4 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
lugha
d (kuondoa kiungo cha ramani using AWB)
(lugha)
'''Kikoongo''' (pia: '''Kikongo''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] ambako inahesabiwa kati ya lugha 4 za kitaifa. Kinazungumzwa na [[Wakoongo]]. Idadi ya wasemaji wa Kikoongo kama [[lugha]] ya kwanza katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu milioni tatu; pamoja na hayo kuna watu milioni tano ambao huongea Kikoongo kama lugha ya pili. Tena kuna wasemaji wa Kikoongo milioni moja nchini [[Angola]] na milioni moja nchini [[Jamhuri ya Kongo]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kikoongo iko katika kundi la H10.
 
==Viungo vya nje==