Kikwangali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
2000,lugha
Mstari 1:
'''Kikwangali''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Namibia]] na [[Angola]] inayozungumzwa na [[Wakwangali]]. Mwaka wa [[2000]] idadi ya wasemaji wa Kikwangali imehesabiwa kuwa watu 73,100 nchini Namibia na watu 10,900 nchini Angola. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kikwangali iko katika kundi la K30.
 
==Viungo vya nje==