Kiwavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Badiliko la jamii
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Snodgrass Schizura concinna.jpg|thumb|Kipepeo na hali za kiwavi cha ''Schizura concinna''.]]
[[Image:Caterpillar at 5th stage.jpg|thumb|240px|Kiwavi cha hatua ya tano cha ''Opodiphthera eucalypti''.]]
'''Kiwavi''' ni halihatua ya [[metamofosisi]]ukuaji yawa [[mdudu]] wa [[oda]] ya [[Lepidoptera]] (wadudu kama [[kipepeo|vipepeo]] na [[nondo]]).
Kwa kawaida hula [[majani]]. Wakitokea kwa wingi, k.m. viwavijeshi, wanaweza kuharibu [[mimea]] na hasa [[mashamba]]. Hivyo ni [[adui]] wakubwa wa [[wakulima]].
 
Jinsi ilivyo kwa wadudu wengi, [[maisha]] ya kiwavi hunanzahuanza kama [[yai]]. Inatoka kwa [[umbo]] la [[kiwavi]]. Baada ya [[muda]] kiwavi huwa [[bundo]]. Ndani ya bundo hugeuka kuwa kipepeo anayetoka na kutaga [[mayai]] tena. Mzunguko huuhuo kwa jumla ni [[metamofosisi]].
'''Kiwavi''' ni hali ya [[metamofosisi]] ya [[mdudu]] wa oda ya [[Lepidoptera]] (wadudu kama [[kipepeo|vipepeo]] na [[nondo]]).
Kwa kawaida hula majani. Wakitokea kwa wingi, k.m. viwavijeshi, wanaweza kuharibu mimea na hasa mashamba.
 
Jinsi ilivyo kwa wadudu wengi maisha ya kiwavi hunanza kama [[yai]]. Inatoka kwa umbo la [[kiwavi]]. Baada ya muda kiwavi huwa [[bundo]]. Ndani ya bundo hugeuka kuwa kipepeo anayetoka na kutaga mayai tena. Mzunguko huu kwa jumla ni metamofosisi.
 
{{mbegu-mnyama}}
 
{{mbegu-mnyamamdudu}}
 
[[Jamii:Vipepeo na jamaa]]