Silabi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Mstari 1:
'''Silabi''' ni kipashio cha [[Fonolojia|kifonolojia]] kinachohusu [[matamshi]] ambapo [[sauti]] za [[lugha]] hutamkwa mara moja kwa pamoja kama fungu moja la sauti. Ama ni fungu la [[fonimu]] linalotamkika kwa pamoja na kwa mara moja. Kwa mfano katika [[neno]] ''kaka'' mna mafungu mawili: ''ka'' na [[ka]].
{{mergefrom|Silabi mwambatano}}
'''Silabi''' ni kipashio cha kifonolojia kinachohusu matamshi ambapo sauti za lugha hutamkwa mara moja kwa pamoja kama fungu moja la sauti.
 
Maneno kufanywa na silabi. Maneno mafupi huwa na silabi 1 pekee. Maneno mengine huwa na silabi zaidi kama 2, 3 au nyingi. Silabi fupi sana inaweza kuwa [[vokali]] 1 pekee au [[konsonanti]] 1 kama "m" katika "m-to-to".
 
Kama silabi inaishia kwa [[konsonanti]] inaweza kuitwa silabi iliyofungwa, kama inaishia kwa [[vokali]] inaweza kuitwa silabi wazi.
 
Kuna lugha zilizo na silabi nyingi zilizofungwa kama [[Kiingereza]]. [[Kiswahili]] kinapendelea silabi wazi, lakini "m" na "n" zinaweza kuwa mwishoni kwa silabi au kuwa silabi peke yaoyake. Lugha kama [[Kijapani]] takriban hazina silabi za kufungwa.
 
Mifano ya maneno yenye silabi 1:
Line 24 ⟶ 23:
Kuna lugha zinazotumia [[mwandiko wa silabi]] badala ya [[alfabeti]], kwa mfano [[abugida]].
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Sarufi]]