Jimbo la Niger : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
No edit summary
Mstari 30:
|}
[[Picha:Jimbo Niger Nigeria.png|thumb|right|300px|Mahali pa jimbo la Niger katika [[Nigeria]]]]
'''Jimbo la Niger ''' ni [[jimbo]] lililoko upande wa [[magharibi]] mwa ncinchi ya [[Nigeria]] na ndilo jimbo kubwa nchini humo. Mji mkuu wake ni [[Minna]] na miji mikubwa mingine ni [[Bida]], [[Kontagora]] na [[Suleja]]. Liliundwa mwaka wa [[1976]] wakati Jimbo la Kaskazini Magharibi liligawanywa na kuunda majimbo ya [[Sokoto]] na Niger.
 
Jina la jimbo hili linatokana na [[Mto Niger]], mbili kati ya stesheni kubwa za kutengezea nguvu za umeme za Nigeria. [[Bwawa]] la [[Kainji]] na Bwawa la Shiroro ziko katika Jimbo hili. Pia kuna Mbuga ya Kitaifa ya Kainji iliyo kubwa zaidi nchini Nigeria na ina Ziwa Kainji.
 
[[Mji mkuu]] wake ni [[Minna]] na [[miji]] mikubwa mingine ni [[Bida]], [[Kontagora]] na [[Suleja]]. Liliundwa mwaka wa [[1976]] wakati Jimbo la Kaskazini Magharibi liligawanywa na kuunda majimbo ya [[Sokoto]] na Niger.
 
Jina la jimbo hili linatokana na [[Mto Niger]], mbili kati ya stesheni kubwa za kutengezea nguvu za umeme za Nigeria. [[Bwawa]] la [[Kainji]] na Bwawa la Shiroro ziko katika Jimbo hili. Pia kuna Mbuga ya Kitaifa ya Kainji iliyo kubwa zaidi nchini Nigeria na ina Ziwa Kainji.
 
==Serikali==
Kama majimbo mengine ya Nigeria , linaongozwa na [[Gavana]] na [[Bunge.]]. Chini ya utawala wa [[Aliyu Mu'azu Babangida]] tarehe 13, Januari [[2000]], jimbo hili lilipitisha [[sheria ya Sharia]] kama kanuni ya sheria, ingawa idadi ya wakazi wa jimbo imekuwa kihistoria sawa kati ya Waislamu na Wakristo.
 
===Maeneo ya Utawala===
[[File:Gurarafalls.jpg|thumb|left|Gurara Falls, kando ya mto Gurara kwenye jimbo la Niger Stat.]]
{{-}}
Jimbo la Niger limegawanywa katika [[Maeneo 25 ya [[Serikali za Mitaa]].
 
{| width="50%"
Line 88 ⟶ 89:
==Marejeo==
{{reflist}}
 
{{NigerStateGovernors}}
{{Nigeria states}}
==Viungo vya Nje ==
* [http://www.my-nigeria.com/?tag=niger-state News on Niger State]
 
 
{{Nigeria}}
{{mbegu-jio-Nigeria}}
[[Jamii:Majimbo ya Nigeria|N]]
[[Jamii:NigeriaJimbo la Niger]]