Tofauti kati ya marekesbisho "Kombe la Mataifa ya Afrika"

332 bytes removed ,  miezi 5 iliyopita
no edit summary
d (corr using AWB)
 
{{For|the rugby tournament|Africa Cup}}
{{Redirect|Cup of Nations|the football tournament in the Persian Gulf|Gulf Cup of Nations}}
{{Infobox football tournament
| current =
{{Wikinews|Egypt wins 2008 Africa Cup of Nations}}
 
'''Kombe la Mataifa ya Afrika,''' ni [[shindano]] kuu la la [[soka]] la kimataifa katika [[Afrika]]. Shindano hili husimamiwa na [[Confederation of African Football]] (CAF), na lilichezwa kwa mara ya kwanza mwaka wa [[1957]]. Tangu mwaka wa 1968, shindano hili hufanyika baada ya miaka miwili. Wabingwa wa [[FIFA Confederations Cup]] walifuzu katika shindano hili.
 
Katika mwaka wa 1957 kulikuwa na mataifa tatumatatu yaliyoshiriki katika shindano hili ambayo ni: [[Misri]], [[Sudan]] na [[Ethiopia]]. [[Afrika ya Kusini]] walikuwa walikuwa washiriki katika shindano hili lakini walizuiwa kutokana na sera za [[ubaguzi]] nchini humo.<ref>http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/cup_of_nations/1709599.stm</ref> Tangu wakati huo, mchuano huu umeenea, na kusababisha michuano ya kufuzu. Idadi ya walioshiriki katika fainali ya shindano hili ilifika 16 katika mwaka 1998 (timu 16 zilikuwa zishiriki katika shinano hili mwaka wa 1996 lakini Nigeria walijitoa na kubakia timu 15), na tangu wakati huo, imebaki kuwa timu 61 ndizo zinashiriki katika shindano hili. Timu hizi hugawanywa katika vikundi ambavyo kila kundi kina timu nne ambapo timu mbili bora katika kila kundi ndizo zinafaulu katika hatua ya ya pili.
 
[[Misri]] ndiyo taifa lililofanikiwa zaidi katika historia kombe hili kwa kuwa na rekodi ya kushinda kombe hili mara sita. [[Ghana]] na [[Kamerun]] wameweza kunyakuwa ubingwa mara nne. Nyara tatu tofauti zimetunzwa katika historia ya shindano hili. [[Ghana]] na [[Kamerun]]wameshinda matoleo mawili ya kwanza baada ya kila timu kushinda shindano hili mara tatu mfululizo. Nyara iliyo sasa ilitunzwa mara ya kwanza mwaka wa 2002.
 
== Historia ==
|38||align=left|{{Fb|Botswana}}||1||0||0||0||0||3||0||0||3||0||2||9||-7
|}
 
 
== Tazama pia ==
{{Col-begin}}
{{Col-1-of-3}}
 
* [[Orodha ya muungano mpira mashindano]]
* [[Michuano ya Mataifa ya Afrika]]
{{Col-2-of-3}}
{{Col-3-of-3}}
{{Lango|Africa}}
{{Col-end}}
 
== MarejeleoMarejeo ==
{{Marejeo}}
 
* [http://www.fifa.com/en/print/article/0,4039,10769,00.html Mkuu Adventure ya African Football] [[(FIFA)]]
* [http://www.sis.gov.eg/En/Society/acup/History/091302000000000001.htm Historia ya kombe la Mataifa ya Africa tangu mwaka 1967] (Misri State Information Service)
* [http://www.sis.gov.eg/En/Society/acup/History/011302000000000001.htm Historia ya Afrika tangu mwaka 2000] [[(Misri....)]]
 
== Viungo vya nje ==
{{African Nations Cup}}
{{Fb end}}
{{Africa topics}}
 
[[Jamii:Kombe la Mataifa ya Afrika]]
[[Jamii:Mpira wa Miguu]]
[[Jamii:CAF mashindano kwa timu ya taifa]]