Content deleted Content added
dNo edit summary
Tag: MassMessage delivery
Mstari 32:
Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha [https://sw.m.wikipedia.org/w/index.php?title=Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct)&article_action=watch#Utangulizi_kuhusu_Mwongozo_Wa_Kimataifa_Wa_Nidhamu_Na_Maadili Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili]. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuainisha vitu vya msingi vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) wa Wikipedia na pale wanawikipedia wanapowasiliana kwenye Wikipedia au ana kwa ana katika warsha na mikutano ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kukithiri kwa baadhi ya Wanawikimedia kukumbana kufanyiwa unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Hivyo, wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku [https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct) soma zaidi kuhusu mwongozo huo Hapa]na baada ya kuusoma mwongozo huo unaweza ku [https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Majadiliano_ya_Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct)#Maswali_ya_Wikimedia_Foundation toa maoni yako Hapa kabla ya tar 15 April 2020.]

'''Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia'''

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Dar es Salaam ili tuweze kujadiliana na kubadilishana uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia '''wikitzagroup@gmail.com''', na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla na miradi waliyoitekeleza tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao [https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_Community_User_Group_Tanzania Wikimedia Community User Group Tanzania] au pia katika Facebook kwa jila la [https://www.facebook.com/Wikimediatz/ Wikimedia Tanzania].

Ndimi '''[[Mtumiaji:AMtavangu (WMF)|AMtavangu (WMF)]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:AMtavangu (WMF)|majadiliano]])''' 22:47, 5 Aprili 2020 (UTC)

== Mwaliko wa kutoa maoni yako kuhusu ''Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Nidhamu'' ==

Habari ndugu Mwanawikipedia!

[[User:AMtavangu (WMF)|Mimi]] ni mwezeshaji wa mradi uitwao [https://sw.m.wikipedia.org/w/index.php?title=Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct)&article_action=watch#Utangulizi_kuhusu_Mwongozo_Wa_Kimataifa_Wa_Nidhamu_Na_Maadili Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili]. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa na kuunga mkono wazo hilo. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni [https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Majadiliano_ya_Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct)#Maswali_ya_Wikimedia_Foundation ''HAPA'']

'''Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo'''

Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha [https://sw.m.wikipedia.org/w/index.php?title=Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct)&article_action=watch#Utangulizi_kuhusu_Mwongozo_Wa_Kimataifa_Wa_Nidhamu_Na_Maadili Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili]. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuoanisha vitu vya msingi vya kimwongozo vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano katika Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kujaribu kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) au utumiaji wa Wikipedia, na pia pale wanawikipedia wanapowasiliana ndani ya tovuti ya Wikipedia yenyewe au wanapokutana ana kwa ana katika warsha na mikutano mbalimbali ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kutokea kwa baadhi ya matukio kwa baadhi ya Wanawikimedia anbapo katika tafiti iliyofanywa mwaka 2015 , ilionekana baadhi ya Wanawikimedia walikuwa wakikumbana na unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku [https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct) soma zaidi kuhusu mwongozo huo]na unaweza ku [https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Majadiliano_ya_Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct)#Maswali_ya_Wikimedia_Foundation toa maoni yako Hapa kabla ya tar 29th April 2020.]

'''Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia'''

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Tanzania (Dar es Salaam) ili tuweze kujadiliana na kubadilishana mawazo, uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia na miradi mingine yake ya Wikimedia Foundation. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia '''wikitzagroup@gmail.com''', na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kuhusu miradi waliyoifanya tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao [https://meta.wikimedia.org/wiki/Wikimedia_Community_User_Group_Tanzania Wikimedia Community User Group Tanzania] au pia katika Facebook kwa jila la [https://www.facebook.com/Wikimediatz/ Wikimedia Tanzania].

Ndimi [[User:AMtavangu (WMF)|Mtavangu]]19:09, 18 Aprili 2020 (UTC)