Kujitolea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Kujitolea''' (katika [[Kiingereza]]:'''Volunteeringvolunteering''') ni [[kazi]] ambazo zinaweza kufanywa na [[mtu]],kikundi cha[[kundi]] la watu, au [[taasisi]] yeyoteyoyote bila ya kutarajia kupata [[malipo]] kutoka katika [[jamii]] au wale wanaowafanyia kazi hiyo.<ref>{{cite journal|last1=Wilson|first1=John|title=Volunteering|journal=Annual Review of Sociology|date=2000|volume=26|issue=26|page=215|doi=10.1146/annurev.soc.26.1.215}}</ref> kujitolea.

Kujitolea huwa pia ni sehemu ya kuongeza na kukuza [[maarifa]] pamoja na kuendeleza matendo mema katika kuudhihirisha [[utu]] na ubinadamu, mtu anaejitoleaanayejitolea mara nyingi hupata matokeo mazuri kutoka katika jamii yake, hasa ile anayoihudumia.<ref>{{cite web|title=Benefits of Volunteering|url=http://nationalservice.gov|accessdate=12 April 2017|website=[[Corporation for National and Community Service]]}}</ref> kujitolea

Kujitolea pia hutumika kama sehemu ya mtu kutengeneza [[mazingira]] binafsi kwa ajili ya [[ajira]] yake ya baadaebaadaye, watu wengi wanaojitolea mara nyingi hupata mafunzo mbalimbali kwa sehemu waliyopo kama vile [[elimu]], [[matibabu]] [[huduma]] za dharura na huduma nyingine kama vile kutoa huduma wakati wa [[majanga]] .
 
Kwa muktadha wa kijeshi, mtu anaejitoleaanayejitolea ni yule anaejiungaanayejiunga na [[jeshi]] nabila kuwa mwananchi ila mara nyingi huwa wanalipwaanalipwa ([[mamluki]]).
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
{{mbegu-elimusheria}}
[[Jamii:Sheria]]
 
[[Jamii:Jamii]]
[[Jamii:Maendeleo]]