Uajemi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 66:
 
== Historia ==
{{main|Uajemi ya Kale|Historia ya Iran}}
Tangu mwaka [[500]] [[KK]] ma[[kabila]] madogo ya nchi yaliunganishwa, na hii ilikuwa mwanzo wa [[milki ya Uajemi]]. [[Mfalme]] [[Koreshi II]] aliunganisha Uajemi wote chini ya [[mamlaka]] yake akavamia sehemu za [[Uturuki]] wa leo na [[Babeli]] na kuunganisha nchi hizo.
 
Line 87 ⟶ 88:
Tangu [[uchaguzi]] wa [[Rais]] [[Mahmoud Ahmadinejad]] mwaka [[2006]] aliyetamka matishio dhidi ya nchi ya [[Israeli]] kuna mashaka juu ya mipango ya Uajemi kupanua [[teknolojia]] yake ya ki[[nyuklia]] kwa [[hofu]] ya kwamba [[serikali]] yake inalenga kujenga [[bomu ya nyuklia]]. Mapatano yalichukua miaka hadi kufikiwa mwaka [[2015]].
 
== Utawala ==
Uajemi ni Jamhuri ya Kiislamu inayoongozwa na [[katiba]] yenye sehemu za ki[[demokrasia]] na sehemu za kidini.