Kimpiemo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
1996,lugha
Mstari 1:
'''Kimpiemo''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] na [[Kamerun]] inayozungumzwa na [[Wampiemo]]. Mwaka wa [[1996]] idadi ya wasemaji wa Kimpiemo nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 24,000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Kamerun na wasemaji wachache nchini [[Jamhuri ya Kongo]] ambao idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kimpiemo iko katika kundi la A80.
 
==Viungo vya nje==