Kindonga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
2006,lugha
Mstari 1:
'''Kindonga''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Namibia]] na [[Angola]] inayozungumzwa na [[Wandonga]]. Mwaka wa [[2006]] idadi ya wasemaji wa Kindonga nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 807,000. Pia kuna wasemaji 263,000 nchini Angola (2000) lakini inawezekana hawa wamehesabiwa pamoja na [[Wakwanyama]] na [[Wakwambi]]. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kindonga iko katika kundi la R20.
 
==Viungo vya nje==