Kingazija : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
2004,lugha
Mstari 1:
'''Kingazidja''' (pia '''Shingazidja''' au '''Kiswahili ya Komori''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Komori]] inayozungumzwa na [[Wakomori]]. Mwaka wa [[2004]] idadi ya wasemaji wa Kingazidja kisiwani kwa Mayotte imehesabiwa kuwa watu 300,000. Pia kuna wasemaji 8000 nchini [[Madagaska]] na 4000 kisiwani kwa [[Reunion]]. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kingazidja iko katika kundi la G40, yaani iko karibu na [[Kiswahili]].
 
==Viungo vya nje==