Kingazija : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kingazidja''' (pia '''Shingazidja''' au '''Kiswahili cha Komori''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] inayozungumzwa nahasa katika [[Wakomorikisiwa]] cha [[Ngazija]] nchini [[Komori]], lakini pia kati visiwa vingine vya nchi hiyo na kisiwani kwa Mayotte. Pia kuna wasemaji 8,000 nchini [[Madagaska]] na 4,000 kisiwani kwa [[Reunion]]. Kufuatana na [[uainishaji wa lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kingazidja kiko katika [[kundi]] la G40, yaani iko karibu na [[Kiswahili]].
 
[[Mwaka]] wa [[2004]] [[idadi]] ya wasemaji wa Kingazidja kisiwani kwa Mayotte imehesabiwa kuwa watu 300,000. Pia kuna wasemaji 8,000 nchini [[Madagaska]] na 4,000 kisiwani kwa [[Reunion]]. Kufuatana na [[uainishaji wa lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kingazidja kiko katika [[kundi]] la G40, yaani iko karibu na [[Kiswahili]].
 
==Viungo vya nje==