Yterbi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 22:
Kiasili Yterbi haipatikani kwa hali safi lakini imo ndani ya [[madini]] mengi.
 
Iligunduliwa mnamo [[mwaka]] [[1878]] wakati [[mwanakemia]] [[Mswisi]] [[Jean Charles Galissard de Marignac]] alitenga kutoka ardhi adimu ya "erbia" na kuiita Ytterbia kutokana na [[kijiji]] cha [[Ytterby]], [[Uswidi]] ambako aliwahi kupata madini aliyochungulia.<ref>Mbali na [[Yterbi]] (Yb), kuna pia elementi za [[Ytri]] (Y), [[Erbi]] (Er) na [[Terbi]] (Tb) zilizopokea jina kutokana na kijiji cha Ytterby; elementi za [[Skandi|Scandi]] ([[Skandinavia]]), [[Holmi]] (Ho, jina la [[Stockholm]]), Thuli (Tm, jina la Thule, kisiwa cha [[kaskazini]] katika [[mitholojia ya Kigiriki]]) ya [[Skandinavia|Scandinavia]]), na [[Gadolini]] (Gd, jina la mvumbuzi Johan Gadolin) zilitambuliwa pia katika madini ya Ytterbi.</ref> <ref>{{Cite web|author=Kean|first=Sam|title=Ytterby: The Tiny Swedish Island That Gave the Periodic Table Four Different Elements|url=http://www.slate.com/articles/health_and_science/elements/features/2010/blogging_the_periodic_table/ytterby_the_tiny_swedish_island_that_gave_the_periodic_table_four_different_elements.html|work=Slate|accessdate=14 November 2016|date=16 July 2010}}</ref>
 
Yterbi ni vigumu kutengwa na madini mengine, kwa hiyo haina matumizi mengi isipokuwa viwango vidogo katika [[leza]] kadhaa.