Kisotho-Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB
2006,lugha
Mstari 1:
'''Kisotho-Kaskazini''' (pia '''Kisepedi''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Afrika Kusini]] inayozungumzwa na [[Wasepedi]]. Mwaka wa [[2006]] idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kaskazini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini [[Botswana]]. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kisotho-Kaskazini iko katika kundi la S30.
 
==Viungo vya nje==