Zuzu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
d Wasifu Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 1:
'''Zuzu''' ni jina la kata ya [[Dodoma Mjini]] katika [[Mkoa wa Dodoma]] , [[Tanzania]]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 6485 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Dodoma - Dodoma MC]</ref> waishio humo.Kata ya Zuzu ina jumla ya
Wakazi wa Kata hii ni Wakulima na wafugaji pia ni Wafanyabiashara.
Kata ina Jumla ya Shule 3 za Msingi ambazo ni S/m Zuzu, S/m Chididimo na S/m Soweto ambayo ni mpya kwa sasa.
Pia kata ina shule moja ya Sekondari ambayo ni Shule ya Sekondari Zuzu.
==Marejeo==
|