Tofauti kati ya marekesbisho "Kiboko (Benin)"

8 bytes added ,  miezi 5 iliyopita
1995,lugha
d (kuondoa kiungo cha ramani using AWB)
(1995,lugha)
 
'''Kiboko''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Benin]] na [[Nigeria]] inayozungumzwa na [[Waboko]]. Isichanganywe na [[Kiboko (Kongo)|lugha ya Kiboko cha Kongo]]. Mwaka wa [[1995]] idadi ya wasemaji wa Kiboko nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 70,000. Pia kuna wasemaji 40,000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] kwa ndani zaidi, Kiboko iko katika kundi la Kimande.
 
==Viungo vya nje==