Siwa barafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Greenland Ilulissat-25.jpg|thumb|right|Siwa barafu]]
[[Picha:Iceberg.jpg|thumb|right|Siwa barafu inaweza kuwa na umbo kama hili; asilimia kubwa iko chini ya maji]]
'''Siwa barafu''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''iceberg'') ni kipandepande kikubwakubwa chala [[barafu]] kinachoelealinaloelea [[Bahari|baharini]]. Siwa barafu inaweza kusukumwa na [[Mikondo ya bahari|mikondo ya baharini]] hadi kufika kwenye [[maji ya]] vuguvugu inapoyeyuka; kinyume chake inaweza kusukumwa dhidi ya maganda makubwa ya barafu inapounganikana kuunganika nayo.
 
'''Siwa barafu''' ([[ing.]] ''iceberg'') ni kipande kikubwa cha [[barafu]] kinachoelea baharini. Siwa barafu inaweza kusukumwa na mikondo ya baharini hadi kufika kwenye maji ya vuguvugu inapoyeyuka; kinyume chake inaweza kusukumwa dhidi ya maganda makubwa ya barafu inapounganika nayo.
 
== Asili ya siwa barafu ==
Kwa kawaida siwa barafu hupatikana kama vipandepande vinavunjika kwenyela [[barafuto]] inayoishialilomegeka linaloishia [[pwani]] na kuangukakutumbukia kwenye maji ya bahari. Njia nyingine ni kuvunjika kwa vipande vya maganda ya barafu yanayofunika [[[[ncha ya kaskazini ya dunia]]]] na [[Antaktika]].
 
== Tabia ==
Barafu ni nyepesi kushinda maji na hivyo kipande cha barafu kitaelea kwenye maji lakini sehemu kubwa ya siwa barafu iko chinindani ya maji.
 
Siwa barafu huelea pamoja na mwendo wa [[mikondo ya bahari]]. Kadiri inavyofika kwenye maji yasiyo [[baridi]] tena, muda wa maisha ni miezi hadi miaka kadhaa. Muda huuhuo hadi kuyeyuka kabisa unategemea ukubwa wa siwa barafu na [[halijoto]] ya eneo inapofikainapofikia. ZimetazamiwaZimetazamwa kwa muda wa miaka 3.
 
Mara nyingi zinaonekana [[mita]] 1 hadi 75 juu ya uso wa bahari; [[uzito]] hufikia hadi [[tani]] 100,000 au 200,000. Siwa barafu kubwa katika [[Atlantiki]] ya kaskazini iliyotazamiwailiyotazamwa ilikuwa na mita 168 juu ya maji yaani [[kimo]] cha [[nyumba]] ya [[ghorofa]] 55.
 
Siwa barafu kubwa iliyopimwa hadi sasa ilikuwa kipandepande kikubwakubwa kilichovunjikalililomeguka Antaktika [[mwaka]] [[2000]]; [[urefu]] wake ulikuwa [[kilomita]] 295 na [[upana]] kilomita 37. Eneo lake lilikuwa 11,000 [[km²]] 11,000 na [[masi]] yake [[tani]] [[bilioni]] tatu.
 
== Hatari kwa meli ==
Siwa barafu ni hatari kwa [[meli]] kwa sababu sehemu kubwa iko chinindani ya maji; ni [[asilimia]] 10 pekee inaonekana juu ya uso wa bahari. Kama meli inakaribia mno kuna uwezekano ya kwamba siwa barafu iko chinindani ya maji mita mamia kutoka [[kilele]] chake kinachoonekana juu, na meli inaweza kugonga sehemu ile isiyoonekana.
 
Kwa njia hii jali zinatokea tena na tena na mfano mashuhuri ni ajali ya meli [[Titanic]] iliyozama chini mwaka 1912 baada ya kugongwa na siwa barafu. Watu zaidi ya 1,500 walikufa baharini.
 
Kwa njia hiihiyo jaliajali zinatokea tena na tena na mfano mashuhuri ni ajali ya meli [[Titanic]] iliyozama chini mwaka [[1912]] baada ya kugongwakugongana na siwa barafu. [[Watu]] zaidi ya 1,500 walikufa baharini.
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Maji]]
[[Jamii:Ekolojia]]