Bahari ya Weddell : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Bahari zinazopakana na Antaktiki.png|right|thumb|350px|Mtazamo kutoka angani juu ya [[Bara la Antaktiki|Antaktika]]. Bahari ya Weddell ndiyo 'bay' kwenye kona ya juu kushoto.]]
[[Picha:NASA's_DC-8_Flying_Over_the_Weddell_Sea.jpg|left|thumb|Barafu inayofunika sehemu ya kusini ya Bahari ya Weddell.]]
[[Picha:Small_Tabular_Icebergs_(26376305448).jpg|left|thumb|[[Siwa barafu]].]]
'''Bahari ya Weddell''' ni sehemu ya [[Bahari ya Kusini]] iliyopo katika [[hori]] kubwa baina ya [[Rasi Antaktiki]] na [[Nchi ya Coats]]. Sehemu kubwa ya eneo lake limefunikwaimefunikwa na [[barafu]] ya kudumu. [[Upana]] kwenye [[mdomo]] wa hori ni karibu [[km]] 2,000, eneo hilo ni karibu [[kilomita za mraba]] [[milioni]] 2.8. [[Kina]] chake ni baina ya [[mita]] 500 hadi 5,000.
 
Bahari hiyo ilipewa [[jina]] la [[nahodha]] [[Mwingereza]] na [[mwindaji]] wa [[sili]] [[James Weddell]] aliyeingia katika [[bahari]] hiyo mnamo [[1823]] akafika hadi [[latitudo]] ya kusini ya 74. Sili wa Weddell ni moja ya [[wanyama]] ambao wanaishi katika eneo hilo.