Kiazeri-Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Kiazeri ya Kaskazini hadi Kiazeri-Kaskazini: usahihi wa jina
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Kiazeri za -Kaskazini''' ni [[Lugha za Kiturki|lugha ya Kiturki]] nchini [[Azerbaijan]], [[Urusi]], [[Georgia (nchi)|Georgia]] na [[Armenia]] inayozungumzwa na [[Waazeri]]. Ni [[lugha rasmi]] nchini Azerbaijan. Ni lugha tofauti na [[Kiazeri ya -Kusini]] nchini [[Uajemi]]. Hata hivyo wengine huangalia hizo lugha mbili kuwa lugha moja tu, yaani [[Kiazeri]].

Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiazeri ya -Kaskazini nchini Azerbaijan imehesabiwa kuwa watu milioni nane na robo. Pia kuna wasemaji 473,000 nchini Urusi (2010), 360,000 nchini Georgia (2007) na 161,000 nchini Armenia (1993).

Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiazeri za -Kaskazini iko katika kundi la Kiturki yacha Kusini.
 
==Viungo vya nje==