Edward Albee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:22, 21 Juni 2006

Edward Franklin Albee (amezaliwa 12 Machi 1928) ni mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake “Nani Anaogopa Virginia Woolf?” (kwa Kiingereza: Who’s Afraid of Virginia Woolf?) iliyotolewa 1962. Kwa ajili ya tamthiliya zake za baadaye alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer miaka ya 1967, 1976 na 1992.