2 Januari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 16:
 
==Sikukuu==
*[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[watakatifu]] [[Basili Mkuu]] na [[Gregori wa Nazienzi]], [[askofu|maaskofu]] na [[walimu wa Kanisa]], lakini pia za watakatifu [[Papa Telesforo]], [[Arjeo, Narsisi na Marselino]], [[Yohane Bono]], [[Adalardo wa Corbie]] n.k.
*[[Waorthodoksi]] wanaadhimisha [[sikukuu]] ya mtakatifu [[Serafino wa Sarov]]