Vitamini C : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 41.222.181.182 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 169.255.184.141
 
Mstari 2:
[[Image:Patates à l'eau.JPG|thumb|280px|Viazi katika ganda huwa na 20 mg/100 g za vitamini C]]
 
'''Vitamini C''' ni vitamini inayopatikana hasa katika [[matunda]] na majani mabichi. Kikemia ni aina ya [[asidi askobini]] na binadamu ni kati ya spishi chache ambatcdzxdsfgvncvhzoambazo haziwezi kutengeneza asidi hii mwilini. Kwa hiyi watu hutegemea chakula chenye kiwango cha vitamini hii.
 
Vitamini C ina kazi muhimu katika mchakato wa kupona vidonda mwilini. Uhaba wake kwa muda mrefu unasababisha ugonjwa wa [[kiseyeseye]] (au hijabu). Kiseyeseye husababisha [[ufizi wa meno]] kuwa na vidonda na pia vidonda vingine mwilini kutopoa. Ugonjwa huu ulijulikana hasa wakati wa safari ndefu za baharini. Zamani haikujulikana chanzo chake kilikuwa nini; meli na jahazi zilibeba tu unga wa mkate au mchele kama chakula kilichoongezwa kwa nyama kavu au samaki kutoka baharini lakini matunda hayakuwa kawaida. Mabaharia wengi waligonjeka na kufa. Katika karne ya 19 mabaharia walitambua ya kwamba akiba ndogo ya malimau inaweza kuokoa watu kama wanakunjwa kijiko cha maji ya limau kila baada ya siku kadhaa.