Shaaban (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Shaaban''' (ar.kwa [[Kiarabu]]: شعبان, sha‘bān) ni [[Mwezi (wakati)|mwezi]] wa [[nane]] katika [[kalenda ya Kiislamu]]. Inafuata baada ya [[Rajabu (mwezi)|Rajabu]] ikifuatwa na [[Ramadan (mwezi)|Ramadan]].
 
Ilhali ni mwezi kabla ya Ramadani ni pia wakati ambako mwanzo wa [[saumu]] inatangaziwaunatangazwa.<ref name=":0">{{Cite web|url=http://www.aljazeera.com/news/2017/04/ramadan-fasting-start-date-170427062743037.html|title=Ramadan fasting to start May 27 or May 28|website=www.aljazeera.com|access-date=2017-04-27}}</ref>
 
==Nisfu Shaaban==
[[Siku]] ya 15 ya Shaaban inajulikana kama "usiku wa kumbukumbu" au Laylatul Bara-at <ref>G.E. von Grunebaum, ''Muhammadan Festivals'' (London: Curzon Press, 1976), pp. 53-54.</ref> However, observance oflakini thisadhimisho dayhilo islina disputedutata.<ref>{{cite web|url=http://islamqa.info/en/154850|title=Bid‘ah of Sha‘baan - islamqa.info|work=islamqa.info}}</ref>. Kufuatana na [[Hadithi za Mtume Muhammad|hadith]] [[Mtume Muhammad]] alitaja [[tarehe]] hiihiyo kuwa siku maalumu, hivyo kuna [[Waislamu]] wanaoamini ya kwamba [[usiku]] huuhuo una [[baraka]] za pekee. Wengine hukaa usiku huuhuo pamoja wakisoma [[Korani]] na kushiriki katika [[sala]] za pekee. Wengine wanapinga [[ibada]] hizihizo.<ref>[https://islamhouse.com/sw/articles/890020/ Fadhila za mwezi wa Shaaban na uzushi wa Nisfu Shaaban], tovuti ya islamhouse.com, iliangaliwa Septemba 2018</ref>
Siku ya 15 ya Shaaban inajulikana kama "usiku wa kumbukumbu" au Laylatul
Bara-at <ref>G.E. von Grunebaum, ''Muhammadan Festivals'' (London: Curzon Press, 1976), pp. 53-54.</ref> However, observance of this day is disputed.<ref>{{cite web|url=http://islamqa.info/en/154850|title=Bid‘ah of Sha‘baan - islamqa.info|work=islamqa.info}}</ref>. Kufuatana na hadith Mtume Muhammad alitaja tarehe hii kuwa siku maalumu hivyo kuna Waislamu wanaoamini ya kwamba usiku huu una baraka za pekee. Wengine hukaa usiku huu pamoja wakisoma Korani na kushiriki katika sala za pekee. Wengine wanapinga ibada hizi.<ref>[https://islamhouse.com/sw/articles/890020/ Fadhila za mwezi wa Shaaban na uzushi wa Nisfu Shaaban], tovuti ya islamhouse.com, iliangaliwa Septemba 2018</ref>
 
==Sikikuu ya Imamu Mahdi==
[[Washia Ithna ashari]] husheherekea tarehe 15 Shaaban kama sikukuu ya kuzaliwa kwa [[imamu]] wao wa 12 na wa mwisho, [[Muhammad al Mahdi]].<ref>[http://realiran.org/a-dazzling-night-in-iran-embellished-with-spirituality/ A Dazzling Night in Iran Embellished with Spirituality], taarifa ya mwaka 2014 kwenye tovuti ya realiran.org, iliangaliwa September 2018</ref>
 
==Tarehe zake==
Ilhali [[kalenda ya Kiislamu]] ni [[kalenda ya mwezi]] miezi yake huanza wakati wa kutazamiwakutazamwa kwa [[hilali]] ya [[mwezi mpya]]. Pia kwa sababu [[mwaka wa mwezumwezi]] ni mfupi kuliko [[mwaka wa jua]] basi tarehe za Shaaban zinapita kwenye [[majira]]. Tarehe zake kwa miaka ya karibu ni takriban<ref>[http://www.staff.science.uu.nl/~gent0113/islam/ummalqura.htm Umm al-Qura calendar of Saudi Arabia]</ref>:
 
{|border="1" align=center cellpadding="2" cellspacing="0" style="background:#efefef; border: 1px solid #aaa; border-collapse: collapse;"
Line 60 ⟶ 59:
 
==Marejeo==
 
{{Reflist}}
 
==Viungo vya Nje==
*[http://www.staff.science.uu.nl/~gent0113/islam/islam_tabcal.htm Islamic-Western Calendar Converter (Based on the Arithmetical or Tabular Calendar)]
 
 
{{Mwakaislamu}}