Ramadan (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Islam}}
[[Picha:هلال رمضان.jpg|thumb]].
'''RamadhaniRamadan''' au '''ramadanramadhani''', '''ramazani''' (kwa [[Kiarabu]]: '''رمضان''') ni [[Mwezi (wakati)|mwezi]] wa [[tisa]] katika [[Kalenda ya Kiislamu]] na mwezi wa [[saumu|kufunga]] katika [[Uislamu]] kuadhimisha [[ufunuo]] wa kwanza wa [[Qur'an]] kwa [[Muhammad]]. Mwezi huuhuo huwa na [[siku]] 29 au 30 kutegemeana na kuonekana kwa [[mwezi]].
 
'''Ramadhani''' au '''ramadan''', '''ramazani''' (kwa [[Kiarabu]] '''رمضان''') ni [[Mwezi (wakati)|mwezi]] wa [[tisa]] katika [[Kalenda ya Kiislamu]] na mwezi wa [[saumu|kufunga]] katika [[Uislamu]] kuadhimisha [[ufunuo]] wa kwanza wa [[Qur'an]] kwa [[Muhammad]]. Mwezi huu huwa na [[siku]] 29 au 30 kutegemeana na kuonekana kwa [[mwezi]].
 
Kufunga ni moja ya [[Nguzo]] [[Tano]] za Uislamu. Mwislamu mzima, mwenye [[afya]] nzuri, anatakiwa kushiriki katika [[swaumu]] ambayo ni [[ibada]] ya [[kufunga chakula]] na [[kinywaji]] [[mchana]] kutwa, pamoja na kujizuia kufanya [[mapenzi]] toka [[alfajiri]] hadi [[magharibi]].