Paradigma ya programu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d lugha ya programu
Mstari 1:
'''Programming paradigm''' ni jumla ya mawazo na dhana zinazoainisha mtindo wa kutengeneza [[programu]] za [[kompyuta]].
 
Programming paradigm haiainishwi na [[lugha ya kutengeneza programu za kompuyta (programming language)]] tu. Karibu na lugha zote za kutengeneza programu za kompuyta za kisasa zinakubalia matumizi ya paradigms mbalimbali. Kwa mfano lugha ya [[C (lugha ya programu)|C]] isiyo object-oriented inakubalia kutumiwa kufuatana na kanuni za object-oriented programming ingawa itakuwa na matatizo kadhaa. Functional programming inawezekana kutumiwa katika lugha yo yote ya imperative inayo functions na kadhalika.
 
== Historia ya istilahi ==