Bremen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 19:
}}
[[Picha:Bremen Wappen(Mittel).svg|thumb|80px|Nembo ya Bremen]]
'''Bremen''' ni [[mji]] mwenyewenye [[bandari]] muhimu katika [[Ujerumani]] ya [[Kaskazini]]. Iko kando ya [[mto]] [[Weser]] takriban 50 [[km]] 50 kabla haujaingia katika [[Bahari ya Kaskazini]]. Ina wakazi 546,000. Pamoja na eneo la jirani kuna watu milioni 2.37 katika mazingira ya Bremen.Mto Weser inapanukaunapanuka baada ya kupita mji kuwa na [[mdomo]] panampana sana kabla ya kuishia baharini hivyo [[meli]] zinaweza kufika hadi mjini.
 
Mji una wakazi 546,000. Pamoja na eneo la jirani kuna watu [[milioni]] 2.37 katika [[mazingira]] ya Bremen.
Bremen ni [[dola-mji]] ikiwa ni moja ya majimbo 17 ya kujitawala ya Ujerumani. Jina rasmi ni „Mji huru wa Hanse wa Bremen“ (Freie Hansestadt Bremen). [[Hanse]] ilikuwa shirikisho la kimataifa la miji ya biashara iliyojitawala zamani za [[Zama za Kati|nyakati za kati]]. Kwa muda mrefu wa historia yake Bremen ilikuwa kama nchi ndogo ya kujitegema hadi kujiunga na Dola la Ujerumani 1871. Jimbo la Bremen ina miji miwili ya Bremen yenyewe na Bremerhaven.
 
Bremen ni [[dola-mji]] ikiwa ni moja ya [[Majimbo ya Ujerumani|majimbo 17]] ya kujitawala ya Ujerumani. [[Jina rasmi]] ni „Mji huru wa Hanse wa Bremen“ (Freie Hansestadt Bremen). [[Hanse]] ilikuwa [[shirikisho]] la kimataifa la miji ya [[biashara]] iliyojitawala zamani zakatika [[Zama za Kati|nyakatikarne za kati]]. Kwa muda mrefu wa [[historia]] yake Bremen ilikuwa kama nchi ndogo ya kujitegema hadi kujiunga na [[Dola la Ujerumani]] [[1871]]. [[Jimbo la Bremen]] inalina miji miwili ya Bremen yenyewe na [[Bremerhaven]].
Wafanyabiashara wa Bremen waliwahi kuwa na biashara na nchi za nje kwa jahazi na meli zao tangu karne nyingi. Hata mawasiliano kati ya Afrika na Ujerumani yalipitia hasa Bremen na mji jirani wa [[Hamburg]].
 
[[Wafanyabiashara]] wa Bremen waliwahi kuwa na biashara na [[nchi za nje]] kwa [[jahazi]] na [[meli]] zao tangu [[karne]] nyingi. Hata [[mawasiliano]] kati ya [[Afrika]] na Ujerumani yalipitia hasa Bremen na mji jirani wa [[Hamburg]].
 
== Picha za Bremen ==
<gallery>
Image:weserhb.jpg|Mto [[Weser]] huko Bremen
Image:Bremen-4muscians.jpg|Wanamuziki wanne wa Bremen
Image:Bremen-Roland.jpg|Nguzo ya Roland, alama ya kujitawala
Image:Bremen-Becks_Brewery.jpg|Beck & Co, kiwanda cha bia
Image:Bremen-Böttcherstraße-wall.jpg|Jengo la kale mtaani Böttcherstraße
Picha:Weserstadion(2).jpg|[[Weserstadion]] ya FC [[Werder Bremen]]
</gallery>
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}
 
{{Kigezo:Majimbo ya Ujerumani}}
 
{{mbegu-jio-Ujerumani}}