Bremen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
Mji una wakazi 546,000. Pamoja na eneo la jirani kuna watu [[milioni]] 2.37 katika [[mazingira]] ya Bremen.
 
Bremen ni [[dola-mji]] ikiwa moja ya [[Majimbo ya Ujerumani|majimbo 17]] ya kujitawala ya Ujerumani. [[Jina rasmi]] ni „Mji huru wa Hanse wa Bremen“ (Freie Hansestadt Bremen). [[Hanse]] ilikuwa [[shirikisho]] la kimataifa la miji ya [[biashara]] iliyojitawala katika [[Zama za Kati|karne za kati]]. Kwa muda mrefu wa [[historia]] yake Bremen ilikuwa kama nchi ndogo ya kujitegemakujitegemea hadi kujiunga na [[Dola la Ujerumani]] [[1871]]. [[Jimbo la Bremen]] lina miji miwili ya Bremen yenyewe na [[Bremerhaven]].
 
[[Wafanyabiashara]] wa Bremen waliwahi kuwa na biashara na [[nchi za nje]] kwa [[jahazi]] na [[meli]] zao tangu [[karne]] nyingi. Hata [[mawasiliano]] kati ya [[Afrika]] na Ujerumani yalipitia hasa Bremen na mji jirani wa [[Hamburg]].
Mstari 30:
<gallery>
Image:weserhb.jpg|Mto [[Weser]] huko Bremen
Image:Bremen-4muscians.jpg|[[Wanamuziki]] wanne wa Bremen
Image:Bremen-Roland.jpg|Nguzo ya Roland, [[alama]] ya kujitawala
Image:Bremen-Becks_Brewery.jpg|Beck & Co, [[kiwanda]] cha [[bia]]
Image:Bremen-Böttcherstraße-wall.jpg|[[Jengo]] la kale mtaani Böttcherstraße
Picha:Weserstadion(2).jpg|[[Weserstadion]] ya FC [[Werder Bremen]]
</gallery>