Paradigma ya programu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Jamii:Uhandisi wa programu
object-oriented = inaozingatiwa kuhusu kipengee ?
Mstari 1:
'''Paradigma ya programu''' ni jumla ya mawazo na dhana zinazoainisha mtindo wa kutengeneza [[programu]] za [[kompyuta]].
 
Paradigma ya programu haiainishwi na [[lugha ya programu]] tu. Karibu [[lugha]] zote za kutengeneza programu za kompuyta za kisasa zinakubali matumizi ya paradigma mbalimbali. Kwa mfano lugha ya [[C (lugha ya programu)|C]] isiyo object-orientedinaozingatiwa kuhusu kipengee inakubali kutumiwa kufuatana na kanuni za paradigma object-orientedinaozingatiwa kuhusu kipengee, ingawa kwa matatizo kadhaa. Functional paradigm inawezekana kutumiwa katika lugha yoyote ya imperative inayo functions na kadhalika.
 
== Historia ya istilahi ==