Shule : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Added content
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 1:
[[Picha:Himo Holy Child PS 2012 Tamino.jpg|thumb|right|350px|Shule ya msingi ya Holy Child, [[Himo]], [[Makuyuni]] ([[Monduli]]) - [[Tanzania]].]]
[[Picha:ZambianSchool2.JPG|thumb|right|350px|Shule ya msingi [[Kijiji|vijijini]] nchini [[Zambia]].]]
'''Shule''' (kutoka [[Kijerumani]]: '''Schule'''; nchini [[Tanzania]] na [[Kenya]], huko [[Zanzibar]] huitwa '''skuli''' kutoka [[Kiingereza]] "school") ni [[taasisi]] ambakoinayoongozwa na mfumo maalumu ambayo watu hufunzwa habari za [[elimu]]. Pia ni [[jina]] la [[Jengo|majengo]] yake.
 
Leo hii katika nchi nyingi [[watoto]] na [[vijana]] wanatakiwa waende shule kujifunza mambo ya msingi ambayo watayahitaji kwa [[maisha]] yao ya baadaye.