Wema Sepetu : Tofauti kati ya masahihisho

No change in size ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
No edit summary
'''Wema Abraham Sepetu''' (amezaliwaalizaliwa [[28 Septemba]] [[1988]]) ni [[mwanamitindo]], [[mjasiriamali]] na [[mwigizaji]] kutoka nchini [[Tanzania]].
 
Aliwahi kuwa [[Miss Tanzania]] kwa [[mwaka]] wa [[2006]]. Aliiwakilisha Tanzania katika Miss World 2006<ref>{{Cite web|title=Miss World 2006 contestants Miss Tanzania: Wema Isaac Sepetu , Miss...|url=https://www.gettyimages.com/detail/news-photo/miss-world-2006-contestants-miss-tanzania-wema-isaac-sepetu-news-photo/71773508|work=Getty Images|accessdate=2020-03-31|language=en-us}}</ref>, ambayo ilifanyika nchini [[Poland]]. Baadaye alikua mwigizaji nchini Tanzania.<ref>{{Cite web|title=Wema Sepetu biography: age, boyfriend, child and latest photos|url=https://www.tuko.co.ke/283335-wema-sepetu-biography-age-boyfriend-child-latest-photos.html|work=Tuko.co.ke - Kenya news.|date=2018-08-21|accessdate=2020-03-31|language=en|author=Zindzy Gracia}}</ref>
552

edits