Aral (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AralShip.jpg|thumb|300px|Meli ya ziwani inayokaa jangwani mahali pa bandari zamani]]
'''Ziwa Aral''' ([[Kikazakhi]]: ''Арал Теңізі'' ''(aral tengizi)'', [[Kiuzbeki]] ''Orol dengizi'', [[Kirusi]] ''Аральскοе мοре'' ''aralskoye more'') ni [[ziwa]] la [[Asia ya Kati]] mpakani mwa [[Kazakhstan]] na [[Uzbekistan]].
 
Hadi [[mwaka]] [[1960]] lilikuwa na eneo la [[maji]] la [[km²]] 68,000, lakini limepungua hadi kubaki na km² 17,160 pekee mwaka 2004. Tangu [[1987]] kupungua kwa maji kulisababisha ugawaji wa ziwa katika sehemu [[mbili]] upande wa [[kaskazini]] na upande wa [[kusini]] ambazo haziunganiki tena.
Mstari 8:
Ziwa halikupokea tena kiasi chake cha maji, hivyo likapungua. Sehemu kubwa za eneo la ziwa la awali zimekuwa [[jangwa]]. Maji yaliyobaki yameharibika kutokana na [[majitaka]] ya [[viwanda]] na [[mbolea]] nyingi iliyosukumwa kutoka mashamba mitoni halafu ziwani.
 
Kuna mradi wa kuokoa angalau sehemu ndogo ya kaskazini. Ukuta ulijengwa kwa shabaha ya kuzuia upotevu wa maji katika jangwa la msingi wa ziwa la kale. Uwiano wa maji yamepanda tena katika sehemu hii ndogo.
 
<gallery>
Mstari 17:
Image:AralSea ComparisonApr2005-06.jpg|Sehemu ya Kaskazini imeanza kupanua kidogo
Image:Karte aralsee.jpg|Picha ya Ziwa Aral inaonyesha eneo lake jinsi ilivyoonekana mwaka 2004 pamoja na mipaka ya ziwa mnamo 1960 (mstari mweusi)
File:Aral Sea.gif|1960–2014
</gallery>