Paradigma ya programu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
object-oriented = inaozingatiwa kuhusu kipengee ?
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Paradigma ya programu''' ni jumla ya mawazo na dhana zinazoainisha mtindo wa kutengeneza [[Programu ya kompyuta|programu]] za [[kompyuta]].
 
Paradigma ya programu haiainishwi na [[lugha ya programu]] tu. Karibu [[lugha]] zote za kutengeneza programu za kompuyta za kisasa zinakubali matumizi ya paradigma mbalimbali. Kwa mfano lugha ya [[C (lugha ya programu)|C]] isiyo inaozingatiwa kuhusu kipengee inakubali kutumiwa kufuatana na kanuni za paradigma inaozingatiwa kuhusu kipengee, ingawa kwa matatizo kadhaa. Functional paradigm inawezekana kutumiwa katika lugha yoyote ya imperative inayo functions na kadhalika.