Gereza : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 7:
==Etimolojia==
Asili ya neno "gereza" ni [[Kireno]] "[[:pt:igreja|igreja]]" inayomaanisha "kanisa" (la kikristo). Maana imebadilishwa kwa sababu makanisa ya kwanza ya Wareno katika Afrika ya Mashariki yalijengwa ndani ya maboma yao. Kwa hiyo ilhali "igreja" ya Wareno ilikuwa ndani ya jengo imara ya ngome ilitokea ngome yenyewe ikaitwa hivyo. Hapo neno jipya "gereza" lilikuwa na maana ya "boma, ngome". Baadaye ngome hizo hazikuwa tena na kazi ya kijeshi kutokana na maendeleo ya teknolojia ya silaha hivyo
Neno "jela" limekopwa kutoka Kiingereza "jail" wakati wa ukoloni wa Kiingereza.
|