Mawasiliano ya simu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Mawasilianoanga hadi Mawasiliano ya simu
No edit summary
Mstari 1:
'''MawasilianoangaMawasiliano ya simu''' ''(tafsiri ya [[Kiing.]]-[[Kigiriki]] "telecommunication" kutoka Kigir. ''tele'' "mbali" Kiing. ''communication'' "kupeana habari, mawasilianio")'' ni kazi ya kupeana habari juu ya umbali tofauti na maongezi ya moja kwa moja kati ya watu walio karibu.
 
Zamani mawasiliano kwa umbali yalitekelezwa kwa msaada wa ngoma maalumu, alama za moto kutoka mlimani au alama za moshi zilizoonekana kwa mbali. Katika historia ya Ulaya au Asia kuna pia mifano ya [[semafori]] au heliografi (kioo cha kuakisisha nuru ya jua, kilichowekwa juu ya mnara au mlima). Inawezakana kutaja hapa pia nyaraka zilizosafirishwa kwa njia ya wakimbiaji au kwa watume waliopanda farasi.