Uzi wa kioo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Upelekaji wa [[mwanga kwa nyuzi za kioo]] Katika utarakilishi na mawasilianoanga, '''uzi wa kioo''' (kwa Kiingereza:...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Fibreoptic.jpg|thumb|Upelekaji wa [[mwanga]] kwa nyuzi za kioo]]
Katika [[utarakilishi]] na [[mawasilianoanga]], '''uziUzi wa kioo''' ''(kwaing. [[Kiingereza]]:glass fiber, optical fiber)'' ni kifaauzi kinachoacha upelekaji wa taarifa za kijiditi kwa njianyembamba ya [[wayakioo]] yaau [[uangavuplastiki]] naambayo yainaweza kupitisha [[unyumbufunuru]] kutoka upande mmoja hadi mwingine.
 
Nyuzi za kioo hutumiwa hasa katika [[Mawasilianoanga|mawasiliano ya simu]], lakini hutumiwa pia kwa kuangaza majengo, vifaa vya upimaji, na [[kamera]] maalum [[Kamera|za]] kuangalilia ndani ya nafasi ndogo. Katika tiba huhitajika kuangalia hali ya ndani ya mwili bila upasuaji, kama vile ndani ya mishipa ya damu au ndani ya utumbo.
== Marejeo ==
 
== Historia ==
* Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. ''Kioo cha Lugha'', ''5''(1).
[[Picha:Singlemode_fibre_structure.svg|thumb| Matabaka katika waya ya nyuzi za kioo. <br /> <nowiki></br></nowiki> 1. - kiini cha nyuzi za kioo µm 8 &nbsp; <br /><nowiki></br></nowiki> 2. - Koti ya ndani µm 125 &nbsp; <br /> <nowiki></br></nowiki> 3. - Tabaka ya hifadhi µm 250 &nbsp; <br /> <nowiki></br></nowiki> 4. - Koti ya nje µm 400 &nbsp; ]]
Uzi wa kioo ni ugwe mwembamba na mrefu wa kioo tupu (SiO<sub>2</sub>) ambayo ni kiini. Unafungwa katika koti ya mata tofauti inayosababisha akisisho kamili la ndani. Hivyo nuru inabaki ndani ya kiini hadi mwisho wa uzi.
 
Ikiwa koti ya ndani inakwaruzwa, inaweza kuvunjika. Hivyo kuna tabaka ya hifadhi nje ya koti hiyo inayoilinda. Yote inafungwa tena katika koti ya nje inayofanya waya wote imara.
 
== Matumizi ==
Matumizi makuu ya nyuzi za kioo ni katika [[mawasiliano ya simu]] (telecommunication). Ishara za habari zinapitishwa ndani ya nyuzi hizo, kimsingi sawa na ishara za umeme katika nyaya za shaba. Lakini nyuzi za kioo zinaruhusu kiasi kikubwa zaidi ya ishara kupitishwa (giga- hadi [[terabaiti]] kwa sekunde), tena kwa umbali mkubwa zaidi bila [[amplifaya]]. Tangu kuanzishwa katika miaka ya 1970, tekinolojia ya nyuzi wa kioo imeleta mapindizi katika nafasi za mawasiliano.
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
 
[[Jamii:Mawasiliano]]
[[Jamii:Mawasiliano]]
[[Jamii:Kompyuta]]