Aral (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AralShip.jpg|thumb|300px|Meli ya ziwani inayokaa jangwani mahali pa bandari ya zamani.]]
'''Ziwa Aral''' (kwa [[Kikazakhi]]: ''Арал Теңізі'' ''(aral tengizi)'', kwa [[Kiuzbeki]]: ''Orol dengizi'', kwa [[Kirusi]]: ''Аральскοе мοре'' ''aralskoye more'') ni [[ziwa]] la [[Asia ya Kati]], mpakani mwa [[Kazakhstan]] na [[Uzbekistan]].
 
Hadi [[mwaka]] [[1960]] lilikuwa na eneo la [[maji]] la [[km²]] 68,000, lakini limepungua hadi kubaki na km² 17,160 pekee mwaka 2004. Tangu [[1987]] kupungua kwa maji kulisababisha ugawaji wa ziwa katika sehemu [[mbili]] upande wa [[kaskazini]] na upande wa [[kusini]] ambazo haziunganiki tena.
Mstari 10:
Kuna mradi wa kuokoa angalau sehemu ndogo ya kaskazini. Ukuta ulijengwa kwa shabaha ya kuzuia upotevu wa maji katika jangwa la msingi wa ziwa la kale. Uwiano wa maji yamepanda tena katika sehemu hii ndogo.
 
==Picha==
<gallery>
Image:Survey of the Sea of Aral 1853.jpg|Ziwa Aral mnamo 1850
Image:Aral map.png|Ramani ya Ziwa Aral mnamo 1960
Image:Aral sea 1985 from STS.jpg|Ziwa Aral mwaka 1985.
Image:Modis aral.jpg|Kisiwa ndani ya ziwaniziwa liliunganishwakikiwa kimeungana na bara kutokana na upotevu wa maji manmomnamo 2000/2001
Image:AralSea ComparisonApr2005-06.jpg|Sehemu ya Kaskazini imeanza kupanua kidogo
Image:Karte aralsee.jpg|Picha ya Ziwa Aral inaonyesha eneo lake jinsi ilivyoonekana mwaka 2004 pamoja na mipaka ya ziwa mnamo 1960 (mstari mweusi)
Image:AralSea ComparisonApr2005-06.jpg|Sehemujpg_Sehemu ya Kaskazini imeanza kupanuakupanuka kidogo
File:Aral Sea.gif|Mabadiliko miaka 1960–2014
</gallery>