Uzi wa kioo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Fibreoptic.jpg|thumb|Upelekaji wa [[mwanga]] kwa nyuzi za kioo.]]
'''Uzi wa kioo''' ''(ing.kwa [[Kiingereza]]: glass fiber, optical fiber)'' ni [[uzi]] nyembambamwembamba yawa [[kioo]] au [[plastiki]] ambayoambao inawezaunaweza kupitisha [[nuru]] kutoka upande mmoja hadi mwingine.
 
Nyuzi za kioo hutumiwa hasa katika [[Mawasilianoanga|mawasiliano ya simu]], lakini hutumiwa pia kwa kuangaza [[Jengo|majengo]], [[vifaa]] vya [[upimaji]], na [[kamera]] maalummaalumu [[Kamera|za]] kuangalilia ndani ya nafasi ndogo. Katika [[tiba]] huhitajika kuangalia hali ya ndani ya [[mwili]] bila [[upasuaji]], kama vile ndani ya [[mishipa ya damu]] au ndani ya [[utumbo]].
 
== Kebo ya nyuzi za kioo==
[[Picha:Singlemode_fibre_structure.svg|thumb| Matabaka katika kebo ya nyuzi za kioo. </br> 1. - kiini cha nyuzi za kioo µm 8 &nbsp; </br>2. - Koti ya ndani µm 125 &nbsp; </br> 3. - Tabaka ya hifadhi µm 250 &nbsp; </br> 4. - Koti ya nje µm 400 &nbsp; ]]
Uzi wa kioo ni [[ugwe]] mwembamba na mrefu wa kioo tupukitupu (SiO<sub>2</sub>) ambayoambacho ni kiini. Unafungwa katika [[koti]] yala [[mata]] tofauti inayosababisha [[akisisho]] kamili la ndani. Hivyo nuru inabaki ndani ya kiini hadi mwisho wa uzi.
 
Ikiwa koti yala ndani inakwaruzwalinakwaruzwa, inawezalinaweza kuvunjika. Hivyo kuna [[tabaka|matabaka]] ya hifadhi nje ya koti hiyohilo inayoilindayanayolilinda. Yote inafungwayanafungwa tena katika koti yala nje inayofanyalinalofanya [[kebo]] yote imara.
 
== Matumizi ==
Matumizi makuu ya nyuzi za kioo ni katika [[mawasiliano ya simu]] (telecommunication). [[Ishara]] za [[habari]] zinapitishwa ndani ya nyuzi hizo, kimsingi sawa na ishara za [[umeme]] katika nyaya za [[shaba]]. Lakini nyuzi za kioo zinaruhusu kiasi kikubwa zaidi yacha ishara kupitishwa (giga-[[gigabaiti]] hadi [[terabaiti]] kwa [[sekunde]]), tena kwa [[umbali]] mkubwa zaidi bila [[amplifaya]]. Tangu kuanzishwa katika [[miaka ya 1970]], tekinolojia[[teknolojia]] ya nyuzi waza kioo imeleta mapindizi[[mapinduzi]] katika nafasi za [[mawasiliano]].
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
 
[[Jamii:Mawasiliano]]
[[Jamii:Mawasiliano]]
[[Jamii:Kompyuta]]