Mawasiliano ya simu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mawasiliano ya simu''' ''([[tafsiri]] ya [[
==Historia==
Zamani [[mawasiliano]] kwa umbali yalitekelezwa kwa msaada wa [[ngoma]] maalumu, [[alama]] za [[moto]] kutoka [[Mlima|mlimani]] au alama za [[moshi]] zilizoonekana kwa mbali. Katika [[historia]] ya [[Ulaya]] au [[Asia]] kuna pia mifano ya [[semafori]] au heliografi ([[kioo]] cha kuakisisha [[nuru]] ya [[jua]], kilichowekwa juu ya [[mnara]] au mlima)
Inawezakana kutaja hapa pia [[nyaraka]] zilizosafirishwa kwa njia ya wakimbiaji au kwa watu waliopanda [[farasi]].
Tangu karne ya 19 mitambo inayotumia umeme imechukua nafasi hii kama vile [[simu]], [[televisheni]], [[redio]] au [[intaneti]].▼
▲Tangu [[karne ya 19]] [[mtambo|mitambo]] inayotumia [[umeme]] imechukua nafasi
{{stub}}▼
▲{{tech-stub}}
[[Jamii:Mawasiliano]]
|