Mwigulu Nchemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwigulu Lameck Nchemba Madelu''' ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Iramba]] [[Magharibi]] mwaka [[2010]] akarudishwa bungeni kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
 
Baada ya uchaguzi wa 2015 aliteuliwa kuwa waziri wa kilimo. 2016 alibadlishwa kuwa waziri wa mambo ya ndani. Mwaka 2018 aliondolewa katika nafasi hii na rais aiyetaja kasoro katika wizara yake kama vile ulaji rushwa, matumizi mabya ya fedha na kuongezeka kwa ajali barabarani ilhali mhusika haonekani<ref>[https://www.thecitizen.co.tz/news/1840340-4643588-5ef1uiz/index.html Why Nchemba was sacked from Home Affairs docket], gazeti The Citizen, tar 3.07. 2018, iliangaliwa Mei 2020</ref>. Rais alitaja mkataba wa Lugumi ambako polisi ilipata hasara ya Tsh bilioni 30, kashfa ya mkataba kwa vifaa vibocu kwenye idara ya NIDA (hasara ya Tsh 176), uigizaji wa magai na malori 700 kwa polisi, mkataba usio halali kwa sare za polisi. Pamoja na hayo watazamaji wengine waliuliza kama namna jinsi Nchemba alijaribu kutafuta mapatano na kanisa la KKKT baada ya barua ya maasakofu wa Pasaka 2018 ilijenga wasiwasi za rais dhidi yake <ref>[https://web.archive.org/web/20180706090050/http://www.thecitizen.co.tz/magazine/politicalreforms/1843776-4645608-exmhvk/index.html Out in the cold, which way Mwigulu?], The Citizen 04.07.2018, iliangaliwa Mei 2020 </ref>
 
Katika Februari 2019 Nchemba aliumizwa katika ajali ambako gari lake liligonga punda milia wawili barabarani<ref>[https://www.thecitizen.co.tz/News/Tanzania-s-former-Home-Affairs-Minister-cheats-death-/1840340-4980388-u77pn4/index.html Tanzania’s former Home Affairs Minister cheats death as car hits donkeys], Citizen tar. 13.02.2019, iliangaliwa Mei 2020 </ref>
 
Tarehe 2 Mei aliteuliwa kuwa waziri wa Sheria na Katiba baada ya kifo cha waziri [[Augustine Philip Mahiga]].<ref>[https://www.thecitizen.co.tz/news/President-Magufuli-reinstates-Mwigulu-Nchemba-to-cabinet/1840386-5540784-bib1p4/index.html President Magufuli reinstates Mwigulu Nchemba to cabinet], Citizen 02.05.2020</ref>
 
==Marejeo==
 
<references/>

{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Bunge la Tanzania]]