Lugha za Kikushi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Cushitic_languages.SVG|thumb|right|350px|Uenezi wa lugha za Kikushi leo (katika [[rangi]] ya [[kahawia]] iliyokolea).]]
[[File:Afro-Asiatic language.png|thumb|upright=1.25|Lugha za Kiafrika-Kiasia mnamo [[500 KK]]<ref>{{cite journal | last1 = Miller | first1 = Catherine | first2 = Madiha | last2 = Doss | name-list-format = vanc |date=1996-12-31 | title = Nubien, berbère et beja: notes sur trois langues vernaculaires non arabes de l'Égypte contemporaine | trans-title = Nubian, Berber and beja: notes on three non-Arabic vernacular languages of contemporary Egypt | url = http://ema.revues.org/1960#article-1960 | journal = Égypte/Monde Arabe | language = French | issue = 27–28 | pages = 411–431 | doi = 10.4000/ema.1960 |issn=1110-5097| doi-access = free }}</ref>]]
'''Lugha za Kikushi''' ni kati ya [[lugha za Kiafrika-Kiasia]]. Zinatumika hasa katika [[Pembe la Afrika]] na nchi za jirani, kuanzia [[Misri]] na [[Sudan]] hadi [[Kenya]] na [[Tanzania]], lakini zamani zilitumika katika maeneo makubwa kuliko leo.
 
[[Jina]] linatokana na [[Kush]], [[mtu]] wa [[Biblia]] anayetajwa kama [[babu]] wa [[Kabila|makabila]] ya aina hiyo.
 
Leo [[lugha]] kubwa zaidi katika kundi hilo ni [[Kioromo]] (35,000,000), kikifuatwa na [[Kisomali]] (18,000,000). Baadhi yake zimeshakufa.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==