Livingstone (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 25 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1866604 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Livingstone1.jpg|thumb|right|250px|Memorial to [[David Livingstone]]]]
[[Picha:Livingstone2.jpg|thumb|right|250px|Livingstone, main street]]
'''Livingstone''' ni [[mji]] na na [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Kusini (Zambia)|mkoa wa kusiniKusini]] wa [[Zambia]], kando ya [[mto Zambezi]], mwenyewenye wakazi 110,000 (2005). Mji ni kitovu cha utalii wa maporomoko ya [[Victoria Falls]] upande wa Zambia.
 
Mji ni [[kitovu]] cha [[utalii]] wa [[Maporomoko ya maji]] ya [[Victoria Falls]] upande wa Zambia. Pia ni kituo cha mpakani kwenye [[daraja la Zambezi]] kwenda [[Zimbabwe]].
'''Livingstone''' ni mji na na makao makuu ya mkoa wa kusini wa [[Zambia]] kando ya [[mto Zambezi]] mwenye wakazi 110,000 (2005). Mji ni kitovu cha utalii wa maporomoko ya [[Victoria Falls]] upande wa Zambia.
 
Pia ni kituo cha mpakani kwenye daraja la Zambezi kwenda [[Zimbabwe]]. Mji ulianzishwa penye mpito wa mto Zambezi, kidogo juu ya maporomoko, [[mwaka]] [[1897]]. [[Jina]] lake limetolewa kwa [[heshima]] ya [[mmisionari]] na [[mpelelezi]] [[David Livingstone]].
 
Ulikuwa makao makuu ya [[kampuni]] ya [[Cecil Rhodes]] iliyotawala [[Rhodesia ya Kaskazini]], baadaye mji mkuu wa [[koloni]] hadi mwaka [[1935]] [[serikali]] ilipohamishwa kwenda [[Lusaka]].
 
Baada ya [[uhuru]] wa Zimbabwe, idadi ya [[watalii]] wengi waliotaka kuona maporomoko walipendelea kukaa upande wa Zimbabwe lakini tangu miaka ya nyuma matatizo ya kiuchumi na ya kisiasa ya Zimbabwe yalisababisha kupanda kwa [[idadi]] ya watalii upande wa Zambia.
 
== Viungo vya Nje ==