Abidjan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 89 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1515 (translate me)
+video
Mstari 20:
 
Kuna viwanda vya ngozi, nguo, vyakula na mafuta.
[[File:Le Transport Lagunaire à Abidjan (STL) réalisé par Bouba Kam's.webm|left|thumb|Abidjan]]
 
Abidjan ilikuwa kijiji tu hadi mwaka 1904. Wakati ule iliteuliwa kuwa mwanzo wa [[reli]] ya kuelekea ndani. Reli ilianzishwa hapa kwa sababu ng'ambo ya wangwa ilikuwepo bandari ndogo ya Port-Bouët. Tangu reli kujengwa Abidjan ilikua haraka. Mwaka 1934 ilitangazwa kuwa mji mkuu wa koloni ya [[Kifaransa]] Cote d'Ivoire.