Tofauti kati ya marekesbisho "Abidjan"

66 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Cote d'Ivoire|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Abidjan|Wilaya]]
|wakazi_kwa_ujumla = 34,624707,800000
|website = [http://www.district.abidjan.org/ www.district.abidjan.org]
 
}}
[[Picha:AbidjanLogo.svg|left|80px]]
'''Abidjan''' ndio [[mji]] mkubwa zaidi nchini [[Cote d'Ivoire]] pia ni [[mji mkuu]] hali halisi. Vilevile ni [[bandari]] kuu ya nchi kwenye [[Ghuba ya Guinea]] ya [[bahari]] ya [[Atlantiki]]. Abidjan haiko baharini moja kwa moja lakini kwenye [[wangwa]] ya Ebrie inayotengwa na bahari kwa kanda nyembamba ya [[mchanga]].
 
Abidjan imekua haraka kuanzia wakazi 65,000 [[mwaka]] [[1950]] hadi 34,624707,800000 mwaka [[20002014]].<ref>[http://www.statoids.com/yci.html Statoids, Departments (Wilaya) of Cote d'Ivoire (2000) {{en}}]</ref> Ilikuwa pia mji mkuu rasmi kati ya 1934 hadi 1983.
 
Kuna [[viwanda]] vya [[ngozi]], [[nguo]], [[vyakula]] na [[mafuta]].
{{mbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[Jamii:Miji ya Cote d'Ivoire]]
[[Jamii:Abidjan| ]]