Abidjan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
'''Abidjan''' ndio [[mji]] mkubwa zaidi nchini [[Cote d'Ivoire]] pia ni [[bandari]] kuu ya nchi kwenye [[Ghuba ya Guinea]] ya [[bahari]] ya [[Atlantiki]]. Abidjan haiko baharini moja kwa moja lakini kwenye [[wangwa]] ya Ebrie inayotengwa na bahari kwa kanda nyembamba ya [[mchanga]].
 
Ilikuwa pia [[mji mkuu]] rasmi tangu mwaka [[1934]] hadi [[1983]]. Kwa sasa imetambulika rasmi kama mji mkuu kiuchumi na bado [[ofisi]] nyingi za [[serikali]] na [[ubalozi|balozi]] za nchi nyingine ziko Abidjan.
Abidjan imekua haraka kuanzia wakazi 65,000 [[mwaka]] [[1950]] hadi 4,707,000 mwaka [[2014]].<ref>[http://www.statoids.com/yci.html Statoids, Departments (Wilaya) of Cote d'Ivoire (2000) {{en}}]</ref> Ilikuwa pia mji mkuu rasmi kati ya 1934 hadi 1983.
 
Abidjan imekua haraka kuanzia wakazi 65,000 [[mwaka]] [[1950]] hadi 4,707,000 mwaka [[2014]].<ref>[http://www.statoids.com/yci.html Statoids, Departments (Wilaya) of Cote d'Ivoire (2000) {{en}}]</ref> Ilikuwa pia mji mkuu rasmi kati ya 1934 hadi 1983.
 
Kuna [[viwanda]] vya [[ngozi]], [[nguo]], [[vyakula]] na [[mafuta]].
[[Picha:Le Transport Lagunaire à Abidjan (STL) réalisé par Bouba Kam's.webm|left|thumb|Usafiri jijini Abidjan.]]
[[Picha:Abidjan Plateau.jpg|thumb|Eneo la Plateau na wangwa wakati wa [[usiku]].]]
 
==Historia==
Abidjan ilikuwa [[kijiji]] tu hadi mwaka [[1904]]. Wakati ule iliteuliwa kuwa mwanzo wa [[reli]] ya kuelekea [[bara]]. Reli ilianzishwa huko kwa sababu ng'ambo ya wangwa ilikuwepo bandari ndogo ya [[Port-Bouët]]. Tangu reli kujengwa Abidjan ilikua haraka. Mwaka [[1934]] ilitangazwa kuwa mji mkuu wa [[koloni]] la [[Ufaransa]] la Cote d'Ivoire.
 
Line 27 ⟶ 31:
Abidjan kuna [[chuo kikuu]] tangu mwaka [[1964]].
 
Tangu mwanzoWakati wa [[vita yavya wenyewe kwa wenyewe]] mwakamiaka [[20042002]]-[[2007]], na hasa [[2010]]-[[2011]] hali ya usalama mjini umeshuka chiniilipungua sana.
 
== Marejeo ==